The House of Favourite Newspapers

Mzee Lowassa Alazwa Muhimbili

WAZIRI Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa amelazwa katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili baada ya kufanyiwa upasuaji wa tumbo. Taarifa kutoka kwa familia hiyo zinasema kuwa kiongozi huyo amelazwa katika hospitali hiyo kwa karibu wiki nzima…

Lowassa Ampongeza Rais Samia

Kwanza nianze kwa kumpongeza na kumshukuru Rais wetu, Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan kwa kuifanya vyema kazi ya kuijenga nchi na kisha kuendeleza safari ya kujenga uchumi imara. Kupitia hotuba yake katika Baraza Kuu la…

Mzimu wa Lowassa Wamtafuna Membe

DAR: WAKATI zikiwa zimebaki siku 25 kabla ya kufanyika kwa uchaguzi mkuu mwaka huu, upepo wa kisiasa kwa mgombea urais wa Chama cha ACT Wazalendo, Bernard Membe umemwendea kombo, baada ya viongozi wa chama hicho, kutangaza kumuunga…

Lowassa Ammwagia Sifa Rais Magufuli

WAZIRI Mkuu wa zamani, Edward Lowassa,  amepongeza utendaji kazi wa Rais John Magufuli ambapo amesema kampeni ya kutumbua watu ambao ni wazembe imesaidia nchi kushika adabu na mambo yanakwenda vizuri.  Lowassa ameyasema hayo jana …