Browsing Category
Risasi
Ukiwa na Sifa Hizi Lazima Uolewe!
MOJA kati ya kilio kikubwa cha mabinti ni kupata wanaume sahihi wa kuwaoa. Ishu si tu kuolewa lakini kupata mume sahihi ni jambo lingine.
Wengi wanaishia kukutana na wanaume ‘wasanii’ ambao hawana mpango wa ndoa. Wao wanafurahia…
Wema na Zari, Vita Imenoga
ILIANZA kama masihara tu hivi lakini sasa hivi mambo yametaradadi kati ya muigizaji Wema Sepetu na mrembo kutoka pande za Sauz, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’, wanapigana vijembe ile mbaya.
Awali, ishu…
Kajala Anaishi Kama Yuko Mbele Vile!
MMOJA kati ya mastaa wa Bongo Muvi wanaoishi kama ‘mamtoni’ ni Kajala Masanja ambaye amefanikiwa kujijenga misingi imara ambayo imemwezesha kuishi maisha mazuri kama yuko mbele vile! RISASI linakupalia.Hayo yamethibitishwa hivi karibuni…
Kocha Simba Amtaja Mbadala wa Mkude Simba SC
BIG bosi wa benchi la ufundi la Simba, Mbelgiji Sven Vandebroeck amemtaja kiungo Mzamiru Yassin kuwa ndiye ambaye atabeba mikoba ya kiungo wake Jonas Mkude leo Jumatano wakati ambao wata-pambana na FC Platinum.
Kocha huyo…
Maua Sama Kuachia Magoma Kama Yote 2021
MSANII wa muziki wa Bongo Fleva, Maua Sama amefunguka kuwa kwa sasa anataka kufanya ngoma tofauti bila kupoa kuanzia mwishoni mwa mwaka huu na mwaka unaokuja.
Akizungumza na Risasi Vibes, Maua amesema kuwa anajua mashabiki…
Kajala Avunja Ukimya Kumpa Penzi Harmo
STAA mkali wa filamu, Kajala Masanja amevunja ukimya kwa kukanusha madai mazito ya kutoka kimpenzi na msanii wa Bongo Fleva, Rajabu Abdukahari ‘Harmonize’ ambaye pia ni mmiliki wa Konde Gang.
Akizungumza na RISASI JUMAMOSI, Kajala…
Nunua na Soma Gazeti la Championi na Risasi kirahisi zaidi hapa
Jipatie nakala ya Gazeti la Championi na Gazeti la Risasi kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa Tsh 300/=
Baada ya kununua Gazeti utakuwa imejiwekea nafasi nzuri ya kuzawadiwe SmartPhone mpya na
Mkwanja hadi Tsh.…
Nunua na Soma Gazeti la Championi na Ijumaa Wikienda kirahisi zaidi hapa
Jipatie nakala ya Gazeti la Championi na Gazeti la IjumaaWikienda kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa Tsh 300/=
Baada ya kununua Gazeti utakuwa imejiwekea nafasi nzuri ya kuzawadiwe SmartPhone mpya na
Mkwanja…
Aunt Kujifungua Akirushwa Laivu
UKISTAAJABU ya Musa, utaona ya firauni! Ndivyo unavyoweza kutafsiri maajabu anayotarajia kuyafanya Staa wa filamu Bongo, Aunt Greyson Ezekiel baada ya kuweka wazi kuwa, amenuia kuongozana na mashabiki zake leba, pindi atakapokuwa…
Nandy, Zuchu Ndani Ya Mchuano Mkali AFRIMMA
WASANII wa kike wanaosumbua katika muziki wa Bongo Fleva, Faustina Charles ‘Nandy’ na Zuhura Kopa ‘Zuchu’ wapo kwenye mchuano mkali, kufuatia kuingia kwenye kinyang’anyiro cha kuwania Tuzo za AFRIMMA.
Wawili hao wanachuana…
Nicole Avuruga Penzi La Harmo na Sarah
KAMA hufahamu, mrembo Nicole Joyberry anayejinasibu kuwa ni mkulima wa matikiti mkoani Iringa, ametibua penzi kati ya msanii Rajabu Abdul ‘Harmonize’ au Harmo na Sarah Michelotti.Kilanga chote cha mtifuano wa wawili hao ambao wamekuwa…
Nunua na Soma Gazeti la Championi na Risasi kirahisi zaidi hapa
Jipatie nakala ya Gazeti la CHAMPIONI na Gazeti la Risasi kirahisi zaidi popote ulipo, ndani ya nje ya Tanzania kwa Tsh 300/=
Bonyeza hapa kununua >> CHAMPIONI <<
Bonyeza hapa kununua >> RISASI <<…
Mrithi Wa Mama Rwakatare Huyu Hapa, Makanisa ya Mlima wa Moto
Kilekitendawili cha mrithi wa usimamizi wa Makanisa ya Mlima wa Moto- Mikocheni B Assemblies Of God, yaliyokuwa chini ya Askofu Dk Getrude Pangalile Rwakatare ‘Mama Rwakatare’ nchini, kimeteguliwa ambapo sifa zake zimewekwa bayana,…
Mambo 5 Kutikisa Uchaguzi 2020
DAR: Mbio za Uchaguzi Mkuu wa Zanzibar 2020 zimezidi kushika kasi na kuwaacha wanasiasa matumbo joto kutokana na uchaguzi huo kuwa na mtikisiko wa kipekee. Gazeti la IJUMAA linachambua.
Mtikisiko huo unatokana na mgombea…
Nunua Risasi Jumatano: Binti Anayeiba Mamilioni kwa ATM Azua Hofu
Kupata nakala yako bonyeza >> HAPA <<
Kupata nakala yako bonyeza >> HAPA <<
Umesikia alichokisema…Gigy baada ya kumwaga machozi
SIKU chache baada ya video kusambaa mitandaoni ikimuonesha akimwaga machozi huku mashabiki wakienda mbali na kudai atakuwa ameachika, msanii wa Bongo Fleva, Gift Stanford ‘Gigy Money’ amefunguka kilichompelekea kuposti video hiyo. …
Mtu sahihi maishani ana sifa gani.?
MUNGU ni mwema! Ni Jumamosi nyingine tumekutana kwenye kilinge chetu cha kujifunza masuala mbalimbali yanayohusu maisha ya uhusiano. Tupo kwenye kizazi ambacho kina changamoto kubwa sana katika masuala ya uhusiano. Kizazi ambacho…
Full Story Skendo Mondi, Zari Kulala Hoteli ya Trump
SKENDO mpya mjini inawagusa wazazi wenza, mwanamuziki Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ na mwanamama mjasiriamali Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’, Risasi Mchanganyiko lina ‘full story’.
WADAIWA KULALA
Mwaka mmoja na…
Lulu Diva Anasa Mimba, Aibua Utata!
MAMBO ni moto! Ndivyo unavyoweza kusema baada ya mwanamuziki wa Bongo Fleva, Lulu Abass ‘Lulu Diva’ kukiri kunasa ujauzito lakini baba wa mtoto mtarajiwa kuzua utata, Risasi Mchanganyiko linakupa habari kamili.
Chanzo…
Tanasha: Sina Usista Duu Kwenye Kulea
MASTAA wengi wanapokuwa wanalea wanaweka ustaa mbele na kusahau kwamba washakuwa mama, ishu hizo ndizo hataki kuzisikia kabisa mpenzi wa sasa wa staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ Tanasha Donna na kusema usista du hana…
Esha, Mapenzi ya Ebitoke, Mlela siyo kiki
MWANAMAMA anayefanya vizuri kunako Bongo Muvi, Esha Buheti amesema mapenzi ya msanii mwenzake Yusuph Mlela na mchekeshaji, Anastazia Exavery ’Ebitoke’ ni kweli na siyo kiki kama ambavyo watu wanadhani. Akibonga na Za Motomoto ya Risasi,…
Koletha aeleza alivyosahau gari baa
WAKATI wengi wakisahau vitu kama simu, funguo na vinginevyo kwa staa wa filamu za Kibongo, Koletha Raymond ametoa kali baada ya kueleza jinsi alivyosahau gari baa. Koletha aliiambia Za Motomoto ya Risasi, kuwa siku hiyo alikwenda baa…
Dogo Janja, Namtamani Sana Vee Money
MWANAMUZIKI wa Bongo Fleva, Abdulaziz Chande ‘Dogo Janja’ ameweka wazi mapenzi yake kwa mwanamuziki mwenziye Vannessa Mdee ‘Vee Money’ kuwa ndiyo mwanamuziki anayemtamani sana kufanya naye kolabo.
Akipiga stori na Risasi…
Zari Atinga Uganda Kumtambulisha King Bae
KWA mara nyingine, mwanamama mjasiriamali Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’, ameibua gumzo baada ya kutinga nchini kwao, Uganda kwa ajili ya kumtambulisha anayedai ni mumewe almaarufu kwa jina la King Bae.
Vyombo vya…
Sanchi: Kwa siku natongozwa zaidi ya mara 100
BAADA kukaa kimya kwa muda mrefu ingawaje anakutana na vishawishi vingi, mwanamitindo mwenye umbo tatanishi, Jane Rimoy ‘Sanchi’ ameamua kufunguka kuwa anapata shida mitandaoni ambapo kwa siku anatongozwa zaidi ya mara 100.
…
Wema aishangilia mimba ya Tanasha
HIVI unajua miaka inaenda na watu wanabadilika tabia? Leo hii unaweza kuamini staa wa filamu Bongo Muvi, Wema Sepetu anaifurahia mimba ya mchumba wa staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’,Tanasha Donna tofauti na watu…
Baby J: Siumii kukwapuliwa bwana, mwanangu ananipa furaha
WANAOSEMAGA kidonda cha mapenzi hakiponi wako wapi? Baada ya kudaiwa kukwapuliwa bwana na dada wa mwanamuziki wa Bongo Fleva, Diamond, Esma, mwanamuziki maarufu visiwani Zanzibar, Jamila Abdalah ‘Baby J’ amesema mwanaye aliyebaki naye…
BABA KANUMBA TUMUOMBEE, AFANYIWA OPARESHENI!
TUMUOMBEE! Ndivyo unavyoweza kusema kutokana na baba wa aliyekuwa staa wa filamu Bongo, marehemu Steven Kanumba, Charles Kanumba anayeishi mkoani Shinyanga kuwa hoi kitandani kwa maradhi yaliyosababisha kufanyiwa oparesheni.
…
Ukimuona Ana Sifa Hizi, Usikubali Kumpoteza!
NI Jumamosi nyingine mpenzi msomaji tunakutana kwenye kilinge cha mahaba. Hapa kazi yetu ni kuelimishana yahusuyo maisha ya uhusiano na hata ndoa.
Mahusiano yoyote mazuri yanatengenezwa. Yana hatua za kupita. Hauamki tu…
Aunty Lulu Akiri Mapenzi Kumrudisha Nyuma
BAADA ya kimya cha muda mrefu, msanii wa filamu za Kibongo ambaye pia amewahi kuwa mtangazaji wa runinga, Lulu Semagongo ameibuka na kueleza sababu za kupotea kwake.
Akistorisha na Shusha Pumzi, Aunty Lulu alisema kuwa…
MPANGO WASAFI KUVUNJWA WAFICHUKA
KUNA mpango mchafu dhidi ya kundi au lebo inayofanya vizuri kwenye Muziki wa Bongo Fleva ya Wasafi Classic Baby (WCB), mpango huo umefichuka.
Kundi la Wasafi lililo chini ya mkurugenzi wake ambaye ni mwanamuziki mkubwa…
Mr Blue: Nitamtegemea Chid Benz Hata Iweje
MKALI wa Muziki wa Hip Hop Bongo, Khery Sameer almaarufu kama Mr.Blue amefunguka kuwa atamtegemea rapa mwenzake Chidi Benz kwenye shoo hata kama akiwa hayupo.
Akizungumza kwenye mahojiano na kipindi cha Big 20 Count Down…
Hii Ndiyo Siri Mastaa wa Kike Bongo Kuibuka na Pub
MASTAA wengi wa filamu za Kibongo wameibuka na Pub ili kujipatia kipato cha upande mwingine ili kikidhi mahitaji yao wenyewe tofauti na zamani ambapo mbali na filamu walikuwa wakiwategemea wanaume wanaoingia nao kwenye uhusiano.…
Kisa Nandy, Amber Lulu ‘Amaindi’
BAADA ya habari kutapakaa kama moto wa kifuu akikiri kuokolewa na msanii mwenzake, Faustina Charles ‘Nandy’ baada ya kumlipa hela shoo na kulipa kodi, msanii wa Bongo Fleva, Lulu Euggen ‘Amber Lulu’ amewamaindi watu mitandaoni…
UMEYASIKIA YA Zabibu Kiba kwa Banda?
KWELI inapofika kwenye suala la mapenzi kila mmoja anatulia! Dada asiyependa makuu kwenye mitandao ya kijamii ambaye pia ni dada wa staa wa Bongo Fleva, Alikiba, Zabibu Kiba ameamua kuweka wazi penzi lake kwa mumewe ambaye ni msakata…
Ester Kiama Adaiwa Kuficha Ujauzito
WAKATI wengine wakiona kubeba ujauzito ni ufahari, kwa mwigizaji wa filamu Bongo, Ester Kiama ni tofauti kwani anadaiwa kuuficha na hatoki ndani kwa sasa.
Chanzo makini kiliiambia Shusha Pumzi kuwa, Ester kwa sasa ana…
MENINAH KUMBE AMEONA UZURI SIYO DILI
IKIWA baadhi ya wanawake wengi wanaamini kuwa ukijaaliwa uzuri wa sura na umbo ndiyo umemaliza kila kitu, kwa mwanamuziki na msanii wa filamu za Kibongo, Meninah Atik, uzuri kwake siyo dili na badala yake kikubwa ni kufanya kazi.…
Madai mazito… AMKATA MKEWE SHINGO AKITUBU“
“MUME wangu kama nimekukosea nisamehe,” mwanamke mmoja, Pendo Patrick (30) mkazi wa Kijiji cha Kakola, Kata ya Bulyanhulu, wilayani Kahama, mkoani Shinyanga amedai kutubu kwa mumewe kabla ya kukatwa na shoka shingoni. Risasi…
UWOYA, MOBETO GUMZO MKUTANO WA SADC
GUMZO kubwa huko mtaani pamoja na kwenye mitandao ya kijamii ni kibarua alichoomba msanii mkubwa wa filamu Bongo, Irene Uwoya cha kupokea wageni wanaokuja nchini kuhudhuria mkutano wa wakuu wa nchi za Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa…