Waziri wa Saudia Arabia Amtaka Cristiano Ronaldo, Agusia Kuinunua Man United na Liverpool
WAZIRI wa Michezo wa Saudi Arabia Prince Abdulaziz bin Turki Al-Faisal amebainisha nia ya kutamani kumuona Cristiano Ronaldo akishiriki katika Ligi Kuu ya Nchi hiyo kufuatia kuvunjiwa mkataba wake na Klabu ya Manchester United.…