TFS Yakabidhi Milioni 20 Kwa Ajili ya Kusaidia wananchi wa Rufiji na Kibiti
Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania - TFS umetoa msaada wa kiasi cha shilingi 20,000,000/= kwa ajili ya kusaidia waathirika wa mafuriko Wilaya za Rufiji na Kibiti mkoani Pwani.
Akipokea msaada huo mapema hivi leo Mei 25,…