The House of Favourite Newspapers

Dar Live Wanafunga Mwaka Kibabe

KWA miaka zaidi ya saba sasa Ukumbi wa Dar Live umekuwa ukifanya makubwa kwenye sikukuu za kufungia mwaka na awamu hii pia hawataiacha Bongo Dar es Salaam salama, hiyo ni kwa kuwa wanatarajia kudondosha shoo ya nguvu katika kuuaga mwaka…