The House of Favourite Newspapers

Wolper; Mama wa Dogodogo!

MIAKA 15 iliyopita, binti wa Kichaga, aliyekuwa na umri wa miaka 18 tu, alifunga safari kutoka nyumbani kwao, Machame kule Moshi mkoani Kilimanjaro na kwenda jijini Arusha kutafuta maisha. Ilikuwa ni baada ya kumaliza elimu ya msingi na…

Hawana Jipya Lakini Wanawika

TUMEKUWA tukiona wasanii wakiwa maarufu kwa kazi wanazofanya huku wengine wakiupata umaarufu huo kwa skendo au kutokana tu na muonekano na mavazi wanayotupia. Katika makala haya leo tunakuletea mastaa ambao ni habari ya…

Video Chafu ya Mchungaji Yavuja

DUNIA inaelekea kubaya au kuisha kabisa! Ndivyo unavyoweza kusema kutokana na yanayoendelea baada ya kuvuja kwa video chafu inayodaiwa ni ya Mchungaji wa Kanisa la El Gibbhor Delivarence Ministy lililopo Tabata jijini Dar, anayejulikana…

TEMBO WA HARMO AZUA BALAA

VITA ya panzi majani ndiyo yanayoumia! Unaweza kutumia msemo huu kutokana na staa wa muziki wa Bongo Fleva, Rajabu Abdul ‘Harmonize’ kuonekana akiwa amechora tattoo ya tembo mgongoni na kuzua balaa kwa kile wengi walichodai kuwa…

Mjengo wamuumbua Mke wa Rayvanny

AMEUMBUKA! Ndivyo unavyoweza kusema kutokana na mjengo ambao mke wa msanii wa Bongo Fleva, Raymond Mwakyusa ‘Rayvanny’, Fahima Msenga ‘Fahyvanny’ kujinadi kuwa wamejenga kwa kudunduliza na mumewe, kubainika kuwa walipanga. Miezi…

Tanasha: Mondi ataniua

MZAZI mwenza wa staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ au ‘Mondi’, Tanasha Donna amefunguka mambo mengi likiwemo jambo kubwa lililosababishwa na mpenzi wake huyo ambalo liliweka rehani uhai wake, IJUMAA WIKIENDA lina…

Vanessa Ale Bata, Asisahau Muziki!

PENZI jipya lina raha yake wewe! Unaweza ukasahau hata kula au kuwaona na kuwasalimia wazazi wako kwa sababu tu unafurahia uhusiano mpya ulioupata na ukakushika vilivyo.  Kila anayefuatilia burudani ndani na nje ya Bongo, anajua jinsi…

Tausi; Wapuuze Wanaokubeza

MWISHONI mwa wiki iliyopita habari kubwa iliyotawala kwenye mitandao ya kijamii na mitaani ni kuhusu kujifungua kwa staa wa filamu za Kibongo; Tausi Mdegela. Tausi ni mwigizaji na ni miongoni mwa wachekeshaji matata wa kike, mwenye…

Wimbo wa kiba wamponza Mondi

MAMBO ni moto! Ndivyo unavyoweza kusema kutokana na kile kinachoendelea kwenye ulimwengu wa vinara wawili wa Bongo Fleva ambapo Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ amejikuta kwenye wakati mgumu, kisa wimbo wa zamani wa mwanamuziki…

Wanaume Wazidi Kumtesa Zari

ANATESEKA! Ndivyo unavyoweza kusema kutokana na yanayoendelea kwa mjasiriamali maarufu nchini Uganda, Zarinah Hassan ‘Zari’ kwani kila kukicha wanaume wameonekana kumtesa. Wanamtesa kivipi? Ni hivi; Zari amekuwa…

Kiki za Mapenzi Ziliwapaisha

KATIKA ulimwengu wa mastaa kuna mambo mengi sana yanayoendelea yakiwemo mazuri na mabaya ambapo wasanii wamekuwa wakifanya kiki za aina mbalimbali ili tu waendelee kuwa juu. Wapo mastaa ambao walikuwa chini na hawakuwa wanasikika tena…

 ROSE MUHANDO MAJANGA TENA!

LICHA ya hivi karibuni kusaidiwa na baadhi ya waimbaji wa Injili wa nchini Kenya alipokuwa anaumwa, habari za ndani zinadai kwamba kwa sasa muimbaji wa Injili Bongo, Rose Muhando ameharibu tena nchini humo kutokana na kutapeli baada ya…

Wamepitia Magumu, Wakasimama Tena!

KATIKA maisha kuna vipindi vya furaha na huzuni. Kuna wakati binadamu anapitia maisha magumu mno na kujikuta akijiuliza amemkosea nini Muumba wake licha ya kwamba wakati wa furaha wengi wetu tunasahau kabisa kwamba ipo siku zitakuja nyakati…

ROSE MUHANDO ALAZWA ICU KENYA

DUA zinahitajika kutokana na madai kwamba, nyota wa muziki wa Injili nchini, Rose Muhando amelazwa hospitalini nchini Kenya, katika chumba cha uangalizi maalum ‘ICU’, Risasi Mchanganyiko limedokezwa.  Chanzo makini kutoka nchi hiyo…

KITAMBI CHA THEA CHAZUA GUMZO

MSANII mkongwe wa filamu nchini, Ndumbagwe Misayo ‘Thea’ hivi karibuni alizua gumzo kutokana na kuonekana kunenepeana na kuwa na kitambi kama mwenye ujauzito. Kutokana na kitambi hicho watu mbalimbali walidai kuwa msanii huyo huenda ni…

MTOTO WA CATHY AZUA MSHTUKO

MTOTO wa msanii mkongwe wa filamu Bongo, Sabrina Rupia ‘Cathy’ anayejulikana kwa jina la Issa ameibua mshtuko baada ya kuonekana kwa mara ya kwanza huku akiwa ni kama kaka wa msanii huyo. Kijana huyo aliibua mshtuko hivi…

SHILOLE AWAPA SOMO MASTAA WALIOMUIGA

KUTOKANA na wimbi la mastaa wa kike kuzidi kujiingiza kwenye upikaji wa vyakula ‘mama lishe’, staa wa muziki na filamu Bongo, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ ameibuka na kuwatahadharisha kwa kuwa yeye ndiye aliyeanza kabla ya wote.   …

Baba Kanumba Amsaka Lulu

IKIWA ni siku moja imepita tangu msanii wa filamu za Kibongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ amalize kifungo cha nje alichokuwa amehukumiwa kwa kesi ya kumuua bila kukusudia aliyekuwa msanii maarufu wa filamu, Steven Kanumba, baba mzazi wa…