The House of Favourite Newspapers

Masele Chapombe Azawadiwa Mtaa

Masele na Mkewe. STORI: GABRIEL NG’OSHA | RISASI | MIKITO NUSUNUSU WAKAZI wa Goba jijini Dar, wamemzawadia  Mchekeshaji, Cypriane Masele kwa kuuita mtaa wao jina la Masele Street  kutokana na kuikubali kazi yake ya uchekeshaji.…

Wana-CCM Tisa Wajitosa Uspika

Wanachama tisa wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wamechukua fomu za kuwania nafasi ya uspika wa Bunge kupitia chama hicho, kumrithi Job Ndugai aliyejiuzulu wiki iliyopita. Akizungumza jana kwa niaba ya Katibu wa Itikadi na…

Dkt. Tulia Achukua Fomu ya Uspika

Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Tulia Ackson leo Jumatatu, Januari 10, 2022 amechukua fomu ya kuwania nafasi ya Uspika wa Bunge, Dkt. Tulia amekabidhiwa fomu hiyo na Katibu msaidizi Mkuu Idara ya…

DED Malinyi Apata Ajali

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Malinyi (DED), Mkoa wa Morogoro, Joanfaith Kataraiya na dereva wake wamejeruhiwa katika ajali ya gari iliyotokea jana Jumapili baada ya gari waliyokuwa wakisafiria kupasuka tairi ya mbele…

Wabunge Chadema Watinga Bungeni

Baadhi ya wabunge wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wameendelea kuhudhuria vikao vya bunge kinyume na agizo la Mwenyekiti wao,  Freeman Mbowe, la kuwataka kutoingia Bungeni kutokana na ugonjwa wa Corona  (COVID-19)…