The House of Favourite Newspapers

KAPO FEKI ZA MASTAA WA BONGO

MAISHA yana sarakasi na madoido mengi kupindukia. Huyu akiibuka na janga hili, yule anachomoza na kioja kile ilimradi tu dunia inajizungusha kwenye mhimili wake na kutengeneza usiku na mchana. Mastaa wana ‘vichaa’ vingi ambavyo…

Tiffah Awafunika Mastaa Bongo

TAFUTENI pesa siyo majungu! Ndivyo unavyoweza kusema unapomzungumzia mtoto wa staa mkubwa wa muziki Bongo na bosi wa lebo ya muziki ya Wasafi Classic baby (Wcb), nasibu abdul ‘Diamond Platnumz’ au ‘Mondi’, Latiffah Nasibu ‘Princess…

MASTAA BONGO WANAVYOHENYA CHINA

MASTAA Bongo ambao ni wafanyabiashara wanaokwenda nchini China wamekuwa wakihenya pale wanapokwenda kusaka biashara ingawa wakifika hapa Bongo, hakuna anayeweza kujua mpaka wakujuze, hivi ndivyo Risasi Jumamosi lilivyochimba na kubaini…

MASTAA BONGO WAISHI KWA NAMBA 9

UKIONA mtu anatukanwa halafu anacheka ujue maisha yake yanaongozwa na namba 9. Uzuri wa namba hii ni kwamba hutoa majibu sahihi kutegemea mtu anaposimama wakati wa kuisoma. Namba 9 ukiigeuza itasomeka 6 na majibu yote ni…

SZIFF ILIVYOWALIZA MASTAA BONGO

RICHARD BUKOS USIKU wa kuamkia juzi (Jumapili) Jiji la Dar es Salaam lilisimama kwa muda kushuhudia sherehe za utoaji wa Tuzo za Filamu za Kimataifa zijulikanazo kama Sinema Zetu ‘SZIFF’ ambapo pia ziliacha mastaa wengi wakilia…