The House of Favourite Newspapers

Mr Shinda Nyumba Ajimwaga Mitaa ya Keko

ILE bahati nasibu ya Shinda Nyumba inayoendelea kwa sasa chini ya Kampuni la Global Publishers wachapishaji wa magazeti ya Uwazi, Championi, Ijumaa, Amani na Risasi inazidi kusonga mbele ambapo watu mbalimbali wanaendelea kujitokeza na…

Mr. Shinda Nyumba Aibukia Keko Temeke

Afisa Masoko wa Global Publishers, Jimmy Haroub (kushoto) akimsaidia msomaji Jonathan Mchuruza wa Sokota, Temeke kujaza kuponi. Mr Shinda Nyumba akiwa na msomaji, Mama Hadija wa Sokota Wasomaji mama Hadija akiwa na mwenzake,…

Compact Energies Yashinda Tunzo Ya Mwaka

Kampuni ya usambazaji na ufungaji wa vifaa vya umeme jua nchini, Compact Energies imeshinda tuzo ya ’First Runner Up- Solar Energy Company of the Year’ katika tuzo  za Africa Company of the Year Award (ACOYA) zilizoandaliwa na Eastern…

Mbowe na Wenzake Washinda Pingamizi

Mahakama Kuu Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi leo Jumatatu Januari 10, 2022 imekubali pingamizi la kutopokea sare za Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) kama moja ya kielelezo lililowekwa na upande wa utetezi…