The House of Favourite Newspapers

Q CHILLA ‘AOTA’ KURUDIA ENZI

MWANAMUZIKI wa Kizazi Kipya, Abubakary Katwila ‘Q-Chillah’ amejitapa kurudi katika gemu la muziki kama ilivyokuwa mwanzoni mwa miaka ya 2000 alipokuwa akitamba na ngoma mbalimbali ikiwemo Si Ulinikataa ambayo ilidaiwa kuwa ni historia…

WA KUMUOKOA Q CHILLAH NI HUYU!

CHILLAH ambaye jina lake halisi ni Aboubakar Shaban Katwila, ni bonge moja la mwanamuziki mwenye uwezo mzuri wa kuimba. Ana mchango mkubwa kwenye gemu la Bongo Fleva na ana mashabiki wengi wanaofuatilia kazi zake tangu akiwa solo, alipounda…

Q Chillah Kumwanika Mpenzi Wake

  Na GABRIEL NG`OSHA| GAZETI LA AMANI| SHOWBIZ XTRA MSANII wa Bongo Fleva, Abubakar Katwila ‘Q-Chillah’  anayetamba na Wimbo wa Koku na Sungura, Aprili 30, mwaka huu amejipanga kumtambulisha rasmi mpenzi wake anayefahamika kwa jina…

Q-Chillah kuibuka na bendi

Mkongwe wa Bongo Fleva, Aboubakar Katwila ‘Q-Chillah’. Stori: Musa Mateja BAADA ya kuutumikia Muziki wa Bongo Fleva kwa muda mrefu, mkongwe Aboubakar Katwila ‘Q-Chillah’ ametangaza kuibuka na bendi itakayofahamika kwa jina la QS…

Wameacha Majina Yao ya Asili

LIMEKUWA ni jambo la kawaida kwa wasanii wa muziki wa Bongo Fleva, lakini pia wa filamu na tasnia mbalimbali kubadili majina yao ya asili kwa lengo la kuimarisha chapa zao ili kuvutia mashabiki ambao ndiyo wanunuzi wa kazi zao.…

Muziki Sio Uhuni, ni Fursa,

MUZIKI ni ala zilizounganishwa ili kutengeneza kitu ambacho kinaitwa burudani. Muziki wa Tanzania kwa upande wa Bongo Fleva na Hip Hop, ulianza miaka ya 1990 baada ya kuibuliwa na waasisi mbalimbali waliokuza muziki huo akiwamo Mike…

Harmonize Aonywa Madawa ya Kulevya

ONYO! Kama mkali wa Bongo Fleva, Rajabu Abdul ‘Harmonize’ au ‘Harmo’ atakuwa ameanza mchezo mbaya wa matumizi ya madawa ya kulevya ‘unga’, basi mashabiki na wadau wakubwa wa burudani wamempa onyo na kumtahadharisha asije akapotea kwenye…