The House of Favourite Newspapers
Browsing Category

Ijumaa

SIRI UTAJIRI WA JUX YAVUJA!

DAR ES SALAAM: Kama ulikuwa hujui, habari ikufikie kwamba staa mwingine wa Bongo Fleva, Juma Mussa ‘Jux’ ana ukwasi wa kutosha, Gazeti la Ijumaa limeingia mzigoni na kuibuka na siri nyuma ya mafanikio yake! MTANDAO YA KENYA YAMTAJA…

Wolper akiri kudanga

WAKATI mastaa mbalimbali wa kike wakidaiwa kudanga kwa wanaume tofauti, mwigizaji Jacqueline Wolper amefunguka kuwa hata yeye amewahi kufanya hivyo, lakini kwa staili ya tofauti.  Akistorisha na Gazeti la Ijumaa, Wolper alisema amewahi…

Sabby Angel Amshauri Harmonize

WIKI chache baada ya Meneja wa WCB, Sallam kusema kuwa staa wa Bongo Fleva, Abdul Khali ‘Harmonize’ ameandika barua ya kutaka kutoka WCB, mkali wa Muziki na Filamu Bongo, amemfungukia msanii huyo kuwa ni mapema sana kujitoa.  …

NORA AOMBA MSAADA WA MAOMBI

MGANGA hajigangi! Licha ya kwamba kwa sasa ameishika dini vilivyo, msanii wa filamu Bongo, Nuru Nassoro ‘Nuru’ amewaomba watu wamuombee ili aweze kufika peponi.  Akibonga na Ijumaa,Nora alisema anaweza kuwa mstari wa mbele kuwahamasisha…

Ijue silaha ya kudumu penzini

UKIFANYA tathimini za kina, utagundua mapenzi ni muhimu sana katika maisha yetu ya kila siku. Mapenzi ni kichocheo cha furaha, amani na mshikamano. Mapenzi yanaleta utulivu wa akili, yanatibu matamanio ya mwili. Mapenzi yanaleta…

shilole Siwezi kufa na unafiki!

MSANII wa Bongo Fleva, Zuwena Mohammed ‘Shilole’ amesema watu wengi wanakwama kwa sababu hawapendi kusema ukweli badala yake wanakumbatia unafiki, jambo ambalo yeye hawezi kufa nalo.  Katika mahojiano na Gazeti la Ijumaa Wikienda,…

Elewa tatizo la ugumba kwa wanaume!

TATIZO la ugumba limekua kubwa na umefika wakati lizungumzwe kwa kuangalia upande wa pili wa shilingi.  Inaelezwa kuwa katika kila ndoa sita, moja huhangaika kupata uzazi na mmoja kati ya wawili hao anaweza kuwa mgumba. Zipo sababu…

MREMBO AMTIA ADABU ZARI

DAR ES SALAAM: Maji yamekorogeka! Upepo bado siyo mzuri kabisa kwa upande wa mwanamama Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’ kwani ameendelea kunyooshwa huko nchini kwao, Uganda, Gazeti la Ijumaa limekukusanyia habari mpya. Kama…

UWOYA amfanyia mbaya Johari

ZANZIBAR: Staa mkubwa wa filamu Bongo, Irene Uwoya amemfanyia kitu mbaya mwigizaji mwenzake, Blandina Chagula ‘Johari’.  Uwoya amemshtukiza Johari ambaye ni shoga’ke mkubwa na kummwagia ndoo za maji kwenye kumbukumbu yake ya kuzaliwa…

Mama D nyodo 100%

ANATAAAMBA! Ndivyo unavyoweza kusema baada ya mama wa staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Sanura Kassim ‘Mama D’ kuonekana akijiachia kwa nyodo asilimia mia na mumewe, Maisara Shamte ‘Anko’.  Tukio hilo lilitokea usiku…

Unagombana sana na mpenzi WAKO?

UHUSIANO wa kimapenzi ni kitu muhimu katika maisha ya binadamu! Mtu yeyote ambaye amekamilika, anahitaji kuwa katika uhusiano wa kimapenzi. Hakuna anayeweza kuvumilia maisha ya upweke, sote tunahitaji kupenda na kila mtu anahitaji…

Romy Jones amjibu Shilole!

DAR ES SALAAM: Saa chache baada ya mwanamama wa Bongo Fleva, Zuwena Mohammed ‘Shilole’ kudai kuwa Rais wa Wasafi, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ anabagua wasanii katika tamasha lao la Wasafi, makamu wa rais wa lebo hiyo, DJ Romy Jones…

MONDI AMUUMBUA ZARI UGANDA!

MAMBO ni moto! Bado ‘muvi’ la zilipendwa Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ na Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’ linazidi kutikisa na safari hii, jamaa huyo amemuumbua mama watoto wake huko nchini Uganda, Gazeti la Ijumaa Wikienda…

WEMA AFICHUA SIRI YA MAISHA YAKE

WEMA Isaac Sepetu ‘Madam’ amevunja ukimya, amefichua siri nyuma ya maisha yake, Ijumaa Wikienda linakudokeza.  Katika mahojiano maalum na Gazeti la Ijumaa Wikienda muda mfupi baada ya kuhojiwa na +255 Global Radio na kutambulisha…

MARIOO ANAVYOPINDUA BONGO FLEVA

MUZIKI ni ajira lakini pia ni biashara kubwa ndiyo maana nchini Nigeria wanaichukulia ‘serious’ tofauti na wengi wanavyoiona!  Kila mwaka wanazaliwa wasanii wapya ambao wanakuja kuwa wakubwa na kukimbiza ndani na nje ya nchi ndiyo maana…

Kajala Kisogo Maisha ya Starehe

MWANAMAMA wa Bongo Movie, Kajala Masanja amefunguka kuwa, kwa sasa ameamua kuyapa kisogo maisha ya kuendekeza starehe hivyo mambo yanayoendelea kwenye ulimwengu wa starehe na burudani hana mpango nayo. Akichonga na Gazeti la Ijumaa…

MAJIZO AWAKA, KISA LULU

WAKATI ukimya ukiwa umetawala kwa muda tangu kutangazwa kwa ndoa yao huku maneno yakiwa mengi kuwa harusi yake na mwigizaji mkali wa Bongo Movies, Elizabeth Michael Kimemeta ‘Lulu’ imeyeyuka, mmiliki wa Kituo cha Redio cha EFM na…

AMBER LULU ALIA POMBE KUMPONZA

MSANII wa Bongo Fleva, Lulu Euggen ‘Amber Lulu’ amefunguka kuwa pombe ndiyo imemharibia kila kitu na kumsababisha aonekane kituko kwenye jamii. Akizungumza na Ijumaa, Amber Lulu ambaye alifanya kituko kwenye Shindano la Miss Kinondoni,…

MWANAMKE MBARONI MAUAJI YA MJESHI!

KIMEWAKA ile mbaya! Jeshi la Polisi Mkoa wa Morogoro limefanya msako mkali kisha kuwatia mbaroni watuhumiwa kadhaa akiwepo mwanamke mmoja kwa tuhuma za mauaji ya mwanajeshi au mjeshi, Gazeti la Ijumaa Wikienda lina kisa na mkasa.  Jeshi…

UTAJIRI WA MBUNGE MATIKO BALAA

FEDHA inaongea! Ndivyo unavyoweza kusema kufuatia ukwasi anaodaiwa kuwa nao Mbunge wa Tarime-Mjini, Ester Matiko, Gazeti la Ijumaa Wikienda linakudondoshea ubuyu kamili!  Sehemu kubwa ya utajiri wa mbunge huyo machachari wa Chama cha…