The House of Favourite Newspapers
gunners X
Browsing Category

Photos

Gigy Money atembelea Global

Binti anayekuja kwa kasi kwenye ulimwengu wa muziki, Giggy Money (kulia) akiwa katika pozi na Mhariri wa Gazeti la Ijumaa Wikienda, Sifael Paul. Giggy Money akiwa katika mapozi mbalimbali na wafanyakazi wa Global Publishers.