Wanawake GGML wawanoa wanafunzi Kalangalala Sec. kujitambua
NA MWANDISHI WETU
KATIKA kuadhimisha Siku ya Kimataifa ya Wanawake Duniani, Umoja wa wanawake wanaofanya kazi katika Kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML Ladies) wametoa darasa kwa wanafunzi wa shule ya sekondari Kalangalala…