The House of Favourite Newspapers

Tid: Media Ziligoma Kupiga Muziki Wangu

TOP In Dar kwa kifupi TID; ni supastaa wa muziki wa RnB Afrika Mashariki akitokea nchini Tanzania ambaye anasema kuwa, kuna baadhi ya vyombo vya habari (media) ambazo ziligoma kupiga muziki wake kwa lengo la kuzima kipaji chake.…

Nandy Achukua Likizo Ya Muziki

KAMA wewe ni mtalii kwenye mitandao ya kijamii, pasi na shaka utakuwa umekutana na jina la Nandy ambaye ni supastaa na Malkia wa Bongo Fleva. Nandy amedumu kwenye muziki na kufanya vizuri kwa miaka kadhaa kutokana na…