Simba na Azam Kushiriki Kombe la Muungano baada ya Miaka 20
Kwa mara ya kwanza baada ya miaka 20 Kombe la Muungano linarejea tena wakati ambao Taifa linasherehekea maadhimisho ya miaka 60 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar.
Taarifa ya Shirikisho la soka Tanzania (TFF) imesema TFF kwa…