The House of Favourite Newspapers
gunners X
Browsing Category

Amani

MSANII APIGWA MIMBA YATOKA

DAR ES SALAAM: MAMBO mengine yanatafakarisha! Hivi inawezekanaje umkataze mtu atukane halafu ageuke mbogo na baadaye kukushushia kipigo hadi ujauzito uharibike? Amani limepokea kisa hiki na linakupakulia.  Msanii wa filamu…

MKIACHANA MNAPASWA KUISHI HIVI!

HAKUNA kitu kinauma kama kuachwa. Anayeachwa huwa anakuwa hayupo tayari kukubali matokeo. Aliyemuacha mwenzake anakuwa amejiandaa wakati mwenzake hajajiandaa. Ni rahisi sana kwa aliyeachwa kutengeneza chuki kwa aliyemuacha.  …

 PENZI LA KIBA LAMTESA MREMBO!

TOA la moyoni! Ndivyo unavyoweza kusema kufuatia mrembo mmoja anayetumia jina la Nancy_The_Beuty kueleza hisia zake za mapenzi kwa staa wa Bongo Fleva, Ali Saleh Kiba ‘Alikiba’.  Kupitia ukurasa wake huo, mrembo huyo alitiririka maneno…

ASKARI AJIUA KISA MKWEWE

MOROGORO: Inasikitisha! Askari wa Kampuni ya Ulinzi ya Setembo, Rajabu Athumani (60), anadaiwa kujiua kwa kujinyonga, kisa kikidaiwa ni mauaji ya mkwewe, Amani lina habari ya kusikitisha.  Tukio hilo lililoacha simanzi…

PETE YA UCHUMBA YA GIGY GUMZO

MREMBO anayefanya poa kunako anga la Bongo Fleva, Gigy Money amedaiwa kuvishwa pete na mwanaume mwingine tofauti na Mojay ambaye ni mzazi mwenzake, jambo ambalo limeibua gumzo la aina yake. Baada ya picha mbalimbali za mkono…

 50 CENT AMKATAA MWANAYE

RAPA kutoka Marekani, 50 Cent ameingia kwenye headline kwa mara nyingine baada ya kumkana hadharani kijana aitwaye Marquise Jackson (21) anayedaiwa kuwa ni mtoto wake.  50 Cent kupitia ukurasa wake wa Instagram, amesema kuwa kijana huyo…

MONDI AMPA MSALA KIBA!

DAR ES SALAAM: Weka pembeni nyimbo zake za mwaka huu za Tetema, The One na Inama, sasa ni zamu ya Kanyaga kutoka kwa staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ ambao umesababisha kizazaa kwa hasimu wake kimuziki, Ali Saleh…

POSH QUEEN, PROF JAY GUMZO!

PICHA waliyopiga mwanamitindo Jacqueline Obed ‘Posh Queen’ na Mbunge wa Mikumi, Joseph Haule ‘Prof Jay’ imezua gumzo ile mbaya huko Instagram. Picha hiyo inayoaminika imepigwa hivi karibuni baada ya Posh kutembelea Bunge jijini Dodoma,…

UNAUHAKIKA ANAKUPENDA KWA DHATI

ALHAMISI nyingine imewadia ambapo tumekutana katika uwanja huu, ambao tunajifunza mambo mbalimbali kuhusu uhusiano. Naamini ukurasa huu unakusaidia kukuza ufahamu kwenye mambo ya malavidavi na kila siku kuna vitu unajifunza.  Marafiki…

FAHAMU MADHARA YA PUMU KWA WAJAWAZITO

TAFITI kadhaa zimeonesha kuwa takribani theluthi moja ya wajawazito wenye pumu hupata nafuu kipindi cha ujauzito, theluthi nyingine hupata matatizo kipindi hiki na theluthi iliyobakia huwa na hali ya kawaida kama kabla ya ujauzito.  Kwa…

DAVINA AFUATA NYAYO ZA MOND

HALIMA Yahya ‘Davina’ ameonesha kufuata nyayo za staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Mondi’ kwa kuanzisha ‘brandi’ yake ya pafyumu. Mrembo huyo kutoka Bongo Movies ameliambia Amani kuwa, malengo yake makubwa ni kuhakikisha anafanya…

AMBER LULU KUMZALIA PREZZO!

VIDEO queen ambaye pia anafanya poa kunako Bongo Flevani, Lulu euggen ‘Amber Lulu’ amesema kwa sasa anaona kuwa hakuna cha kusubiri tena zaidi ya kumshauri mpenzi wake, Jackson Makini ‘Prezzo’ wazae mtoto. Akizungumza na Amani,…

MCHUNGAJI AZUA TAFRANI KARIAKOO

DAR ES SALAAM: Ukisikia neno mchungaji amezua tafrani na kufunga mtaa mchana kweupe lazima utabaki na maswali mengi, imekuwaje kwani matukio kama haya ni nadra kuhusishwa wachungaji!  Iko hivi; Mchungaji wa Kanisa la…

NDOA YA LULU SINTOFAHAMU

DAR ES SALAAM: Moja ya ndoa za mastaa Bongo iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu kubwa ni ya msanii wa filamu, Elizabeth Michael ‘Lulu’ lakini sasa hali ya sintofahamu imegubika, Amani limebaini.  Sintofahamu hiyo inakuja…

FAIZA AFURAHIA SUGU KUPATA MTOTO

TOFAUTI na matarajio ya wambeya wa Instagram, kwamba mzazi mwenziye Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi ‘Sugu’, Faiza Ally atakuwa na kinyongo na mwanamke wa sasa wa Sugu, mrembo huyo amewakata maini mashabiki wa mtandao huo kwa…