The House of Favourite Newspapers

Ifahamu figo yako inavyoweza kuharibika

 LEO tutakuelimisha kuhusu chanzo cha maradhi ya figo na tutakueleza dalili zake ili ufahamu jinsi ya kujikinga.  Figo ni sehemu ya kiungo cha mwilini (ogani) inayoshirikiana na moyo, kuathirika kwake kuna athari kubwa kwa mfumo wa damu na…

DNA kumaliza utata mtoto wa Diamond

Unakumbuka ule utata wa binti wa mwanamuziki mkubwa barani Afrika; Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Latifah Nasibu ‘Tiffah Dangote’, aliyemzaa mwaka 2015 na mwanamama Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’, kiasi cha kutakiwa kupima…