Mbunge wa Buchosa, Shigongo Awasha Moto Bungeni Kisa Kina Mama – Video
Mbunge wa Jimbo la Buchosa, Sengerema Mwanza Eric J. Shigongo hapo jana katika Bunge la 12 Mkutano wa 15 katika kikao cha kumi na mbili ambapo majadiliano ya Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na…